Amesomea mineral processing anatafuta kazi JamiiForums
May 12, 2021 Wana JF nina dada yangu kasoma diploma ya Mineral processing lakini bado anasota2 kitaa kutafuta sehemu hata ya kupata pesa ya sabuni. Tokea amalize chuo ni muda km wa miaka miwili sasa. hivyo msaada kwenu kwa yeyote mwenye mgodi, kiwanda,au kumfahamu mtu mwenye uhitaji wa hiyo nafasi ya kazi please naomba msaada kwa hilo. unaweza fanya nami mawasiliano kwa …